Monday, January 19, 2015

MBOGA MBOGA

MISHKAKI YA NYAMA YA NGOMBE.





Mboga mboga   ziko za aina mbali mbali kama vile:
PWEZA WA KUKAANGA.
NIWATAMU UKITIA PILIPILI  KIDOGO.
SUPU YA PWEZA.
NI MBOGA AMBAYO NI NZURI NA UNAWEZA KUTUMIA KWA KULA KWA CHAKULA CHOCHOTE KILE KAMA WALI ,NDIZI VIAZI ,SHELISHELI, NAUGALI.

No comments:

Post a Comment