Monday, January 19, 2015

Beit lajaibu

BETLAJAIB FORODHANI.Katika jengo hili kuna mambo mbali mbali ya kihistoria ambayo nivivutio vya watalii kama vile vitu vya asili kama nyumba za makut,vijungu,vinyago,kaure,gari zilizo tumika katika utawala uliopita.
NDIZI
DORIANI :ni matunda yenye harufu isiyoridhisha  lakini ni matamu sana  na yenye  kutibu maradhi mbali kama vile kuengeza sukari mwilini n.k                        



No comments:

Post a Comment