Wednesday, January 21, 2015

HIKI NI KISIWA CHA PEMBA.KISIWA HIKI NI MOJA YA VISIWA VIZURI SANA VILIVYOKO KATIKA BAHARI YA HINDI.NI KIVUTIO KIKUBWA KWA WATALII KUTOKA NCHI MBALI MBALI DUNIANI AMBAO HUJIONEA MAZINGIRA YENYEKUPENDEZA YALIYOJAA KILA AINA YA MITI YA KUPENDEZA KAMA VILE MIKARAFUU, MISHELISHELI,MIEMBE,MIKUNGU,MINAZI,MIFENESI NA MITI MENGINE YA MISITU

No comments:

Post a Comment