Monday, January 26, 2015

HABARI MBALI MBALI



FENESI
NANI ANAWEZA KULIA BILA KUUMIA?.


BIRYANI.
 Du hichi chakula ni kitamu sana na nakipenda  sana

Friday, January 23, 2015

<iframe src="https://www.google.com/calendar/embed?height=300&amp;wkst=1&amp;bgcolor=%23FFFFFF&amp;src=kassimsaidsalim%40gmail.com&amp;color=%232952A3&amp;ctz=America%2FNew_York" style=" border-width:0 " width="400" height="300" frameborder="0" scrolling="no"></iframe>.
<iframe src="https://www.google.com/calendar/embed?height=300&amp;wkst=1&amp;bgcolor=%23FFFFFF&amp;src=kassimsaidsalim%40gmail.com&amp;color=%232952A3&amp;ctz=America%2FNew_York" style=" border-width:0 " width="400" height="300" frameborder="0" scrolling="no"></iframe>


Wednesday, January 21, 2015

HIKI NI KISIWA CHA PEMBA.KISIWA HIKI NI MOJA YA VISIWA VIZURI SANA VILIVYOKO KATIKA BAHARI YA HINDI.NI KIVUTIO KIKUBWA KWA WATALII KUTOKA NCHI MBALI MBALI DUNIANI AMBAO HUJIONEA MAZINGIRA YENYEKUPENDEZA YALIYOJAA KILA AINA YA MITI YA KUPENDEZA KAMA VILE MIKARAFUU, MISHELISHELI,MIEMBE,MIKUNGU,MINAZI,MIFENESI NA MITI MENGINE YA MISITU

HAYA NI MADODO ABAYO NI MOJA YA AINA NYINGI ZA MAEMBE MASHUHURI YANAYOPATIKANA HAPA VISIWANI ZANZIBAR.MATUNDA HAYA NI MATAMU HASA UNAPOKULA PAMOJA NA WALI

Tuesday, January 20, 2015

NDIZI MBICHI
NYAMA YA KUKAANGA
NYAMA YA KUKAANGA KWA NDIZI MBICHI HUWEZI KUJUA SHIBA YAKO NA NDIO CHAKULA MURUA KWA WAZANZIBARI HASA WANAO ISHI VISIWANI

MICHEZO MBALI MBALI

MCHEZO WA KUVUTA MBUNGO

MAYAI YA KUKU WA KISASA

Monday, January 19, 2015

MBOGA MBOGA

MISHKAKI YA NYAMA YA NGOMBE.





Mboga mboga   ziko za aina mbali mbali kama vile:
PWEZA WA KUKAANGA.
NIWATAMU UKITIA PILIPILI  KIDOGO.
SUPU YA PWEZA.
NI MBOGA AMBAYO NI NZURI NA UNAWEZA KUTUMIA KWA KULA KWA CHAKULA CHOCHOTE KILE KAMA WALI ,NDIZI VIAZI ,SHELISHELI, NAUGALI.

Beit lajaibu

BETLAJAIB FORODHANI.Katika jengo hili kuna mambo mbali mbali ya kihistoria ambayo nivivutio vya watalii kama vile vitu vya asili kama nyumba za makut,vijungu,vinyago,kaure,gari zilizo tumika katika utawala uliopita.
NDIZI
DORIANI :ni matunda yenye harufu isiyoridhisha  lakini ni matamu sana  na yenye  kutibu maradhi mbali kama vile kuengeza sukari mwilini n.k                        



RESOURSE

.
Resource